Header Ads

test

SAMATTA TISHIO ULAYA

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars na mshambuliaji wa K.R.C Genk Mbwana Samatta atajwa na ukurusa rasmi wa Europa League wa Twitter kuwa ni mshambuliaji wa kutazamwa baada ya kuifungia Club yake magoli 6 ndani ya mechi 5 za mwisho katika Ligi ya Ubelgiji.





No comments