Header Ads

test

Manji akubali yaishe kwa Rais Magufuli



Mwenyekiti wa Makampuni ya Quality Group, Yusuf Manji amesitisha mpango wake wa kuliendeleza eneo la ufukwe wa Coco (Coco Beach) jijini Dar es Salaam baada ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuagiza eneo hilo libaki kwa ajili ya matumizi ya wananchi.


Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments