Header Ads

test

Video| Vanessa Mdee athibitisha kuachana na Jux

       

Msanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee kwa mara ya kwanza amethibitisha kuachana na mpenzi wake Jux. Vanessa amesema hilo kupitia Interview yake aliyofanya na mtangazaji Moet Abebe wa Soundcity redio ya nchini Nigeria. 

Baada ya kuulizwa kuhusu mahusiano yako na Jux, Vanessa alijibu " Ahhhh! mie na yeye tulikuwa pamoja na hatuko pamoja tena ila tuko vizuri na furaha"


Pia Vanessa amebainisha kuwa, kwa sasa hawapo pamoja tena baada ya mambo mengi kutokea kupelekea wawili hao kutengana na kila mtu kuendelea na maisha yake.

Tazama hapa mahojiano ya Vanessa Mdee na Moet Abebe wa Soundcity Redio;



Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments