Header Ads

test

TID awashtaki Quickrocka na OMG, adai wamlipe millioni 20




Msanii wa Bongo Fleva, TID amewataka wasanii wenzake wamlipe faini ya Tsh millioni 20 kwa kutumia wimbo wake wa "Watasema Sana" bila idhini yake.

Kupitia mtandao ukurasa wake wa Instagram TID amepost ujumbe huo kuwataka wakutane Central Police ili kupewa haki yake kutoka kwa Quickrocka na OMG Tanzania kwa kutumia wimbo huo katika wimbo wao mpya bila idhini yake.



Tizama hapa video ya wimbo wa Quick Rocka & OMG - WATASEMA ambao unadaiwa kutumia haki za TID bila idhini yake;


Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments