Header Ads

test

BUNGE LATOA MSAMAHA NA ONYO KALI KWA MAKONDA NA WENZIE



Leo Bunge la jamhuri wa Muungano limetoa misaa kwa wabunge wake pamoja na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mh. Paul Makonda na Mkuu wa wilaya ya Arumeru. Kupitia ukurasa wa Twitter rasmi wa bunge umechpisha habari hizo za misamaha hiyo ikiwa pamoja na kuwapa onyo kali la kutorudia makosa yao waliyoyafanya. Tizama hapo chini tweets za misahama hiyo:




 Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments