Header Ads

test

ZIJUE HAPA TOFAUTI YA TERRIBLE TEENS NA BOEING ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA



Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano imetoa taarifa kuhusu tofauti ya ndege iliyonunuliwa na serikali ya Tanzania Boeing 787 - 800 line no. 719 na ile iliyokuwa inayofananishwa nayo ya Boeing 787 - 800 line no. 19 baada ya malalamiko yaliyotolewa na Mbunge wa Kigoma Mh. Zitto Kabwe kuwa Serikali imenunua ndege ya Terrible Teens. Tazama hapo chini kufahamu tofauti hizo;


Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments