Header Ads

test

VIDEO| MAGOLI YA ARSENAL DHIDI YA MANCHESTER UNITED LIGI KUU ENGLAND


Katika mchezo wa Jumapili May 7, 2017 Ligi kuu nchini Uingereza uliowakutanisha Arsenal wakiwa nyumbani dhidi ya Manchester United katika uwanja wa Emirates jijini London ambao ulikwisha kwa Arsenal kuondoka na ushindi wa magoli yaliyofungwa na Xhaka dakika 54 na lile la Danny Welbeck dakika ya 57 dhidi ya Manchester United. Matokeo hayo yanaweka rekodi ya ushindi wa kwanza kwa Kocha wa Arsenal Arsène Wenger kwa kupata ushindi dhidi timu inayofundishwa na kocha José Mourinho.
Kipa wa Machester United akijalibu kuokoa bila mafanikio mpira uliopigwa na kiungo wa Arsenal Xhaka.


Danny Welbeck akifunga goli la pili kwa Arsenal kupitia mpira wa kichwa.






Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments