Header Ads

test

NEW MUSIC| MKALIWENU - WAPO REMIX FT. BWANA MJESHI & EBITOKE


Msaanii wa comedy kutoka Timamu Music maarufu kama Mkaliwenu ametoa wimbo wake wa WAPO aliowashirikisha wasanii wenzake Bwana Mjeshi na Ebitoke, katika wimbo huu ametumia mdudo wa nyimbo ya Wapo iliyoimbwa na Ney wa Mitego. 


Bofya Play kuusikiliza hapo chini:



Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments