Header Ads

test

RAIS ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI VIFO VYA WANAFUNZI 32 KATIKA AJALI KARATU




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa, taarifa ya vifo vya wanafunzi 32 wa darasa la saba, walimu 2 na dereva wagari la shule ya msingi iitwayo Lucky Vicent ya Arusha vilivyotokea leo saa 3 asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.


Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments