PICHA| YANGA YAREJEA KILELENI BAADA YA KUIFUNGA PRISON 2 - 0 TAIFA
Mshambuliaji wa Yanga, Geofrey Mashiuya (kulia), akichuana na beki wa Tanzania Prisons, Michael Ismail. |
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Obrey Chirwa. |
Mashabiki wa Yanga wakishangilia. |
Mshambuliaji wa Yanga, Geofrey Mashiuya (kulia), akichuana na beki wa Tanzania Prisons, Nurdin Chona. |
Beki wa Yanga, Vincent Bossou akimtoka kipa wa Tanzania Prisons, Aron Kalambo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Yanga uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. |
Wachezaji wa Yanga wakishangilia.![]() |
Tizama hapa magoli ya Tambwe na Chirwa vs Tanzania Prison:
Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com
Post a Comment