Header Ads

test

TFF YAIKABIDHI SIMBA BARUA YA KUPOKWA ALAMA TATU


Baada ya mkutano wa Simba uliokuwa unasubiri barua rasmi ya kupokwa alama zao tatu walizopewa na kamati ya saa 72 ili walipeleke sakati hilo katika shirikisho la soka la dunia FIFA, hatimaye barua rasmi ya kupokwa alama hizo imewasilishwa katika meza za ofisi ya klabu hiyo yenye makao makuu yake mtaa wa Msimbazi Kariakoo Dar es Salaam.

Isome hapa barua ya TFF kwa Simba dhidi ya sakata la alama tatu;


Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments