Header Ads

test

“HANS POPE AFUTA UAMUZI WAKE WA KUJIUZULU, AREJEA KUNDINI” – HAJI MANARA


Baada ya kuripotiwa taarifa za kujiuzulu kwa Zakaria Hanspope Mwenyekiti Kamati ya Usajili Simba Sc, leo Jumatatu May 15, 2017 imetolewa taarifa mpya kutoka kwa Afisa Habari wa Club hiyo Haji Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameandika kuwa kiongozi huyo amefuta uamuzi wake.

Kupitia Instagram Haji Manara ameandika "Rasmi Hanspope arejea kundini, afuta uamuzi wake wa kujiuzulu, na ndio maana fans wetu nawaomba mtulie, hakuna kitakachoharibika, ni upepo mbaya ulipita na sasa umetulia, Karibu tena kamanda Pope"

 Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments