Header Ads

test

VIDEO MPYA| BONGOLOS - WAPE FT. ASTERIA


Kundi jipya la muziki Bongo Los kutoka label ya Bongo Record chini ya P Funk, limeachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘WAPE’. Video imeongozwa na director Karabani na audio ya wimbo huo imetayalishwa katika studio za Bongo Record. Bonyeza play kuitazama video hiyo;


Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments