Header Ads

test

AUDIO | MKWASA AKIELEZEA SABABU YA BAADHI YA WACHEZAJI WA YANGA KUACHWA NA NDEGE ALGERIA


Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa akielezea sababu ya wachezaji wa Yanga kuachwa na ndege nchini Algeria pamoja na yeye mwenyewe kuwa katika kundi hilo la walioachwa huko Algeria ambako walikwenda kucheza mchezo wa marejeano dhidi ya klabu ya MC Alger ya huko.

Msikilize Katibu Mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa hapa:


No comments