Header Ads

test

KAULI YA RAIS MAGUFULI KUFUATIA MAUAJI YA POLISI MKOA WA PWANI


Kufuatia maujai ya Askari wa Jeshi la Polisi nane yaliyotokea siku ya Alhamis April 13, 2017 kijiji cha Jaribu mpakani mwa wilaya ya Rufiji na kijiji cha Kibiti mkoa wa Pwani, Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano  na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli ametoa kauli yake kupitia Mkurugenzi wa mawasiliano IKULU, tazama hapo chini.








Tangaza Nasi kupitia [dawatihurutz.blogspot.com]


No comments