Header Ads

test

MANCHESTER YAINGIA NUSU FAINALI, GENK YA SAMATTA YAONDOLEWA EUROPA LEAGUE


Michezo ya hatua ya robo fainali ya Europa League imemalizika jana na baadhi ya timu kufanikiwa kuingia nusu fainali na nyingine kuondolewa. Timu zilizofanikiwa kuingia nusu fainali ya mashindano hayo ni Ajax kutoka Uholanzi, Lyon ya Ufaransa, Manchester United ya Uingereza na Celta Vigo ya nchini Spain.


Matokeo ya michezo ya Europa League:


No comments