Header Ads

test

KUENDESHA BODABODA MWISHO SAA 11 JIONI MAENEO YA MKURANGA, KIBITI NA RUFIJI



Jeshi la Polisi Tanzania kupitia ukurasa wake wa Twitter limepiga marufuku kuendesha Bodaboda baada ya saa 11 jioni kwa maeneo ya Mkuranga, Kibiti na Rufiji. Katazo hilo limetolewa na Kamishina Marijani baada ya tukio la kuuawa Askari Polisi 8 katika maeneo ya Mkengeni, kata ya Mjawa wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani.






Taarifa ya Jeshi la Polisi kupitia ukurasa wake wa Twitter:






Tangaza Nasi kupitia [dawatihurutz.blogspot.com]




No comments