Header Ads

test

PICHA | WABUNGE WAUNGANA KUAGA MWILI WA DKT. ELLY MACHA

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai pamoja na wabunge mbalimbali wameshiriki kuuaga mwili wa aliyekua mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Dkt Elly Macha, aliyefariki nchini Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu.

Naibu Spika wa Bunge pamoja na baadhi ya Wabunge na waombolezaji wengine wakisubiri mwili wa Marehemu Dkt Elly Macha uwanja wa ndege wa JNIA.

Naibu Spika wa Bunge akiwa ameambatana na wapambe wa Bunge waliobeba mwili wa Marehemu Macha mara baada ya kuwasili katika uwanja wa JNIA.

Naibu Spika Dkt Tulia akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Dkt Elly Macha wakati wakuaga Bungeni Mjini Dodoma leo.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Dkt Elly Macha wakati wakuaga Bungeni Mjini Dodoma leo.



Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com





No comments