Header Ads

test

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YAMRUDISHA BUNGENI MCHUNGAJI RWAKATARE

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemteua Mchungaji Getrude Rwakatale kama mrithi wa nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Ndugu Sofia Simba ambaye alivuliwa uwanachama wa Chama cha Mapinduzi na kupoteza sifa ya kubaki katika nafasi hiyo.






Tangaza Nasi kupitia [dawatihurutz.blogspot.com]



No comments