Header Ads

test

TAZAMA HAPA MATOKEO YA DRAW YA UEFA EUROPA LEAGUE


AFC Ajax kutoka Uholanzi kucheza na Olimpique Lyonnois ya Ufaransa na RC Celta de Vigo  ya Spain kucheza na  Manchester United ya Uingereza. Michezo ya raundi ya kwanza kuchezwa May 4, 2017 na raundi ya pili May 11, 2017. 








Mshindi kati ya Ajax na Lyon atakuwa mwenyeji wa fainali ya Europa League itakayochezwa June 24, 2017 Friends Arena, Solna Municipality, Sweden.

Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com



No comments