Silvio Berlusconi aiuza AC Milan kwa wawekezaji wa china.
Wawekezaji wa Kampuni ya China Rossoneri Sport Investment Lux imemaliza
£ 628m (740m euro) ununuzi wa club ya AC
Milan toka waziri mkuu wa zamani wa Italia Silvio Berlusconi ambaye alikuwa
anamiliki Club hiyo ya Seria A tangu 1986.
Katika wakati huo AC Milan walishinda
mataji nane na makombe matano ya Ulaya.
Hata hivyo, Milan haijashinda Serie A tangu
2011 na kumaliza saba, 10 na nane katika misimu mitatu iliyopita.
Wao kwa sasa wako nafasi ya sita katika ligi, pointi 20
nyuma ya viongozi Juventus.
![]() |
AC Milan imeshinda mataji 29 wakati wa uongozi wa Berlusconi
Tangaza Nasi kupitia [dawatihurutz.blogspot.com]
|
Post a Comment