Header Ads

test

TFF KUPITIA UPYA MAAMUZI YALIYOFANYWA NA KAMATI YA SAA 72 HAPO KESHO

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF kupitia kwa katibu mkuu wake Selestine Mwesigwa wametangaza kuhitisha kikao cha dharura cha kamati ya sheria, katiba, haki na hadhi za wachezaji hapo kesho April 18, 2017 kwa ajili ya kupitia upya maamuzi yaliyofanywa na kamati ya saa 72 ya kuipa point tatu na magoli matatu klabu ya Simba dhidi ya Kagera Sugar.

Selestine Mwesigwa 

Taarifa iliyoripotiwa kutoka kwa katibu mkuu wa TFF
Kikao cha Kamati ya Sheria,Katiba na Hadhi za Wachezaji
jm selestine <mjselestine@yahoo.co.uk>
To TPLB TPLB <tplb.tplb@yahoo.com>, Boniface Wambura <wambura70@gmail.com>
Cc Jamal Malinzi <jamalmalinzi@gmail.com>, Richard Sinamtwa <richardsinamtwa@gmail.com>
Friday, April 14, 2017 2:06 PM
Click to View Full HTML
Mtendaji Mkuu,
Bodi ya Ligi Kuu (TPLB).
Hii ni kukufahamisha kuwa kikao cha dharula cha Kamati ya Sheria,Katiba na Hadhi za Wachezaji ya TFF inategemewa kukaa siku ya Jumanne tarehe 18/04/2017 katika hoteli ya Protea Sea View saa 4 asubuhi. Unatakiwa kufika kwenye kikao na wafuatao:
1. Joel Balisidya
2. Rose Msamila
3. Michael Ngogo
3. Match officials wote wa mchezo wa ligi Kuu kati ya Kagera Sugar na African Lyon i.e Match comm,centre ref,two assistants na mwamuzi wa nne.
4. Viongozi wa Kagera Sugar
Kila mmoja afike na nyaraka alizo nazo kuhusiana na mchezo huo.TFF itarudisha gharama za safari kwa wale wanaotokea nje ya Dar Es Salaam.
Wasalaam,
Mwesigwa Joas Selestine
General Secretary
Tanzania Football Federation
Mob.+255 (0)715221885 (whatsapp)/ (0)756221885




No comments