Header Ads

test

TAARIFA| MADAKTARI WALIOTAKIWA KWENDA KENYA WAITWA KAZINI



Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Idara kuu ya Afya kupitia Katibu Mkuu wake, inawatangazia madaktari walioomba kufanya kazi nchini Kenya na sasa kuajiriwa hapa nchini Tanzania, kutakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi siku ya 14 ya tangazo hili kutoka.

Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments