Header Ads

test

MAGUFULI KUKABIDHIWA WENYE VYETI FEKI SELIKARINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo anatarajiwa kupokea taarifa ya zoezi la uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma katika Ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.


Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments