Header Ads

test

RATIBA YA NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO TANZANIA




Droo ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Tanzania ambalo linajulikana kama Azam Sports Federation Cup imechezeshwa leo April 23, 2017 ili kupanga ratiba ya michezo ya nusu fainali, timu zilizokuwa zimefuzu nusu fainali ni Azam FCSimba ScMbao FC na Yanga.
Ratiba imepangwa na Simba Sc watacheza na Azam FC April 29, 2017 uwanja wa Taifa Dar es Salaam, wakati Yanga wao watacheza dhidi ya Mbao FC April, 30 2017 katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.


Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments