Header Ads

test

FUTURE KUTOKA MAREKANI NA DIAMOND PLATNUMZ KUPIGA SHOW LEADERS CLUB JULY 22, 2017




Msanii wa HipHop Future kutoka Marekani atafanya show hapa nchi pamoja na Diamond Platnumz July 22, 2017 katika viwanja vya Leaders Club.  Taarifa za show hiyo zimetolewa na Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kupost video akielezea show hiyo na kuandika:  "DAR ES SALAAM!!!!! DAR ES SALAAM!!!!!! YOU KNOW HOW MUCH, I'VE BEEN MISSING YOU, RIGHT???????? SEE YOU AT LEADERS CLUB ON THE 22ND OF JULLY 2017 THEN!!💥🕵🔫 "



Video| Future - Where You At ft. Drake



Video| Diamond Platnumz - Marry You ft. Neyo




Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com


No comments