Header Ads

test

ODINGA KUIONGOZA BENDERA YA UPINZANI DHIDI YA RAIS KENYATTA KATIKA UCHAGUZI MKUU KENYA




Muungano wa vyama vya Upinzani nchi Kenya NASA umemtangaza mwanasiasa mkongwe nchini humo Raila Odinga kuwa mgombea wa nafasi ya Urais wa nchini kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika August 8 mwaka huu.
Pia, NASA imemtangaza Kalonzo Musokya kuwa mgombea-mwenza.

Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments