Header Ads

test

El Clasico: Takwimu kuelekea mchezo wa Real Madrid v Barcelona Leo Usiku




Real Madrid watawakaribisha FC Barcelona katika mchezo wa El Clasico jumapili ya leo April 23, 2017 katika uwanja wa Santiago Bernabeu. Mchezo huo utachezwa majira ya saa 21:45 EAT huku Dunia nzima ikiwa na hamu ya kuwaona Ronaldo na Messi wakiziongoza timu zao katika mbio za ubingwa wa La Liga Santander 2016/2017.




Matokeo ya El Clasico ya kila timu ikicheza uwanja wa nyumbani:
TimuNyumbani: UshindiNyumbani: DrooNyumbani: Kufungwa
Real Madrid           52           15              19
Barcelona           49           18               20

Matokeo ya La Liga Santander kwa mechi 10 zilizopita:


Neymar kukosekana leo kwa upande wa Barcelona baada ya rufaa yake ya adhabu ya kukosa mechi 3 kutokubaliwa na Chama cha soka cha Spain. Pia upande wa Madrid mabeki wao Pepe na Varane wataukosa mchezo huo ila habari njema kwao ni ujio wa mshambuliaji Gareth Bale ambaye aliukosa mchezo wa UEFA Champions League dhidi ya Bayern Munich wa raundi ya pili ila huenda akatokea benchi katika mchezo wa leo.

Neymar 

Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com


No comments