Header Ads

test

KAULI YA MANARA MARA BAADA YA TAMKO LA KUFUNGIWA TOKA TFF



Mara baada ya kutolewa tamko toka TFF la kufungiwa kutojihusisha na mpira wa miguu ndani na nje ya Tanzania kwa kipindi cha mwaka mmoja pamoja na faini ya milioni 9, Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa Simba Sports Club Haji S Manara  kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika hivi: "Unazuia na kutonipa nafasi ya kusikilizwa,unanipa hukumu kwa makosa nisiondikiwa ktk mashtaka yao,,Nipo tayari kwa ajili ya mapambano, tukutane juu @simbasctanzania@tanfootball"



 Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com



No comments