Header Ads

test

WALIOITWA KWENYE USAILI WA VITENDO NA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA)




Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inatarajia kuendesha Usaili wa Vitendo kwa wasailiwa waliofaulu usaili wa mchujo.
Usaili utafanyika siku ya tarehe 02-05-2017 katika Taasisi ya Teknologia Dar es Salaam (Dar es Salaam Institute of Technology-DIT)


Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com

No comments