Header Ads

test

NIMEKUSOGEZEA HII | DIAMOND PLATNUMZ CHIBU PERFUME KUZINDULIWA LEO


Diamond Platnumz kuzindua rasmi manukato yake ya  CHIBU Perfume siku ya leo Ijumaa April 21.


Diamond Platnumz anatarajia kuzindua rasmi manukato yake ya CHIBU Perfume siku ya leo pale GSM MALL Pugu Road kuanzia saa nane mchana. Diamond atakuwa msaani wa kwanza Tanzania kuzindua Perfume yake mwenyewe na ataungana na mastaa wakubwa duniani waliowahi kuzindua Perfume zao kama Beyonce, Diddy, Nicki Minaj, David Beckham na wengine. Ametangaza uzinduzi huo rasmi wa manukato yake  kupitia ukurasa wake wa Instagram.







Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com





No comments