Header Ads

test

VIDEO | MAGOLI 100 YA CRISTIANO RONALDO KLABU BINGWA ULAYA


Nyota wa Real Madrid Cristiano awa mchezaji wa kwanza pekee aliyefikisha magoli 100 katika ligi ya vilabu barani Ulaya maarufu kama UEFA Champions League ambayo kati ya magoli hayo 100 aliyoyafunga 16 kafunga kipindi anaichezea Manchester United ya Uingereza na 84 kayafunga akiwa na Klabu yake ya sasa ya Real Madrid ya Spain.




Cristiano Ronaldo - 100 European Goals






Tangaza Nasi kupitia Dawatihurutz.blogspot.com



No comments