Header Ads

test

ARSENAL YASHWINDWA KUREJEA NAFASI YA TANO BAADA YA KUKUBALI KIPIGO


Magoli ya Andros Townsend dakika ya 17 na Yohana Cabaye dakika 63 ambayo yote yametengenezwa na Wilfred Zaha pamoja na mkwaju wa penati dakika ya 68 uliofungwa na Luka Milivojevic yaliwafanya Crystal Palace kuondoka na ushindi wa magoli 3 kwa bila dhidi ya Arsenal katika uwanja wa Selhurst Park. 



Kwa matokeo hayo yamewafanya Arsenal kushika nafasi ya sita ya msimamo wa Ligi kuu ya Uingereza, pointi tatu nyuma ya Manchester United.

Matokeo ya Crystal Palace dhidi ya Arsenal:



Ligi kuu ya Uingereza baada ya Arsenal kupoteza;


Matokeo ya mechi zote za 32 Ligi kuu ya Uingereza hizi hapa:



No comments