Header Ads

test

ASKOFU GWAJIMA AZUNGUMZIA SAKATA LA ROMA, AMUONYA HALIMA MDEE NA KUMSAMEHE DIAMOND

Katika ibada ya leo ya kaniasa la UFUFUO NA UZIMA Askofu Gwajima azungumzia sakata la Roma Mkatoriki aliyekuwa katekwa na kuhusisha kauli za Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda alizozitoa siku ya Ijumaa kuhusu tukio hilo.




Pia Askofu alimuonya Mbunge wa Kawe Halima Mdee kutokana na kutoa kauli yenye matamshi ya matusi kwa Spika wa Bunge na mwisho alimsamehe Diamond Platnumz licha ya jana aliahidi kuwa ALMASI ITAGEUKA MAJI. Kauli hiyo imekuja baada ya Diamond kumuomba Askofu huyo msamaha kupitia ukurasa wake wa Instagram lakini Askofu aligusia habari za kuwa Diamond ni Freemason.

Tazama Full Video ya Askofu Gwajima katika ibada ya leo Jumapili 9, April, 2017 akiwa kanisani pia  akielezea sakata la Roma, Halima Mdee na Diamond Platnumz hapa chini:



No comments