Header Ads

test

Paulo Dybala ⚽️⚽️ Giorgio Chiellini ⚽️ zatosha kuimaliza Fc Barcelona Italy


Mechi za ligi ya mabigwa Ulaya maarufu kama UEFA Champions League zimeendelea kwa kuanza kwa hatua ya robo fainali ambayo mchezo mmoja umechezwa usiku wa leo ambao ni Juventus ya Italy wakiwakaribisha Fc Barcelona kutoka Spain na matoeo ya mchezo ni huo Juventus waliibuka mabigwa kwa kuifunga Fc Barcelona iliyosheheni wakina Messi, Neymar na Suarez magoli matatu kwa bila. 

Magoli hayo ni yale mawili yaliyofungwa na Muagentina w Juventus Paulo Dybala katika dakika za 7 na 22. 

Pia goli la 3 la Juventus lilifungwa na beki mahiri muitaliano Giorgio Chiellini katika dakika ya 55 alilofunga kwa kichwa mbele ya mlinzi Javier Mascherano.

Picha mbalimbali za mchezo huo:













Video: Tizama hapa matukio na magoli ya mchezo huo kati ya Juventus vs Fc Barcelona






No comments