Header Ads

test

PICHA: GARI JIPYA LA KIFAHARI LA DIAMOND PLATNUMZ SOUTH AFRICA

Diamond Platnumz amepost picha za gari lake jipya la kifahari alilonunua hivi karibuni aina ya Hummer ambalo liko katika makazi yake ya huko Afrika ya Kusini kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuweka ujumbe katika kila picha. 

Tazama hapo chini gari lake jipya na ujumbe alioweka katika kila picha;











Pia amepost picha mbali mbali katika ukurasa wake huo wa Instagram akiwa na familia yake katika nyumba ya Afrika kusini.








No comments