Header Ads

test

CRISTIANO RONALDO AWEKA HISTORIA MPYA KATIKA LIGI YA MABINGWA MBELE YA BAYERN MUNICH


Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza na pekee kufikisha magoli 100 UEFA Champions League baada ya usiku wa jana kuifungia timu yake magoli 2 dhidi ya Bayern Munich katika mashindano hayo. 

Katika magoli hayo 100, magoli 16 aliyafunga wakati akiwa na Manchester United na magoli 84 kayafunga akiwa na Club yake anayoichezea kwa sasa Real Madrid. 



No comments