Header Ads

test

MATOKEO YA MECHI ZA RAUNDI YA KWANZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE HAYA HAPA


Michezo ya mzunguko wa kwanza UEFA Champions League imemalizika jana na kushuhudia timu kama Juventus, Monaco, Real Madrid na Atletico Madrid zikiondoka na ushindi katika roundi hiyo ya kwanza. 

Michezo ya raundi ya pili itachezwa siku ya Jumanne na Jumatano ya wiki ijayo ambayo Barcelona atawakaribisha Juventus nyumbani, Monaco atakuwa mwenyeji wa Dortmund, Atletico Madrid atasafiri mpaka nyumbani kwa Leicester City na Real Madrid atawakaribisha Bayern Munich katika uwanja Santiago Bernabeu Spain. 

Nimekusogezea matokeo, video za magoli na matukio yaliyotokea katika michezo hiyo hapo chini.



JUVENTUS vs BARCELONA 3-0 ●ALL GOALS & HIGHLIGHTS CHAMPIONS LEAGUE 11/04/2017


BORUSSIA DORTMUND vs MONACO 2-3 ●ALL GOALS & HIGHLIGHTS CHAMPIONS LEAGUE 12/04/2017




ATLETICO MADRID vs LEICESTER CITY 1-0 ●ALL GOALS & HIGHLIGHTS CHAMPIONS LEAGUE 12/04/2017


BAYERN MÃœNCHEN vs REAL MADRID 1-2 ●ALL GOALS & HIGHLIGHTS CHAMPIONS LEAGUE 12/04/2017




No comments