Header Ads

test

JESHI LA POLISI LATOA TAHADHARI MSIMU HUU WA SIKUKUU YA PASAKA


Jeshi la polisi nchini limetoa tahadhari kwa wananchi kuelekea msimu huu wa Sikuu ya Pasaka kuhusiana na suala zima la ulinzi na usalama wa mali zao huku likisema kuwa kuna baadhi ya watu hutumia sikukuu hizi kufanya vitendo vya uhalifu hasa wizi wa kutumia silaha, wizi wa magari, utapeli na vitendo vingine.




Hii hapa taarifa hiyo:



No comments