Header Ads

test

MECHI ZA UEROPA LEAGUE LEO, SAMATTA KUINGOZA GENK SPAIN


Michezo ya robo fainali raundi ya kwanza Europa League kuanza kuchezwa usiku wa leo, ambapo timu 8 zilizofanikiwa kufika hatua hiyo zitacheza katika viwanja vinne tofauti huko Ulaya. Michezo hiyo itachezwa kuanzia mida ya saa nne na dakika tano kwa masaa ya Afrika Mashariki.

Mtanzania na nahodha wa timu ya taifa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta ataiongoza Club yake ya KRC Genk kutoka Ubelgiji katika mchezo wa awali wa hatua hiyo utakaochezwa nchini Spain dhidi ya Celta Vigo.

Ratiba ya Europa League:



Mbwana Ally Samatta KRC Genk:






No comments