Header Ads

test

RAIS MAGUFULI LEO KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA RELI YA KISASA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli leo ataweka jiwe la msingi kwenye uzinduzi wa ujenzi reli  ya kisasa, Standard Gauge toka Dar es Salaam hadi Morogoro.


Treni itakayopita katika reli hiyo itakuwa na spidi ya kilomita 160 kwa saa. Uzinduzi huo unafanyika kwenye stesheni ya Pugu jijini Dar es Salaam.

Fuatilia uzinduzi huo kupitia hapa: BONYEZA HAPA


No comments