Header Ads

test

TIZAMA RATIBA YA LIGI KUU TANZANIA BARA WIKI HII




Vodacom Tanzania Premier League kuendelea wiki hii:


Alhamisi Aprili 13, 2017:
Mbeya City vs African Lyon Uwanja wa Sokoine - Mbeya 10:00 jioni.

Jumamosi ya Aprili 15, 2017:
Stand United vs Mtibwa Sugar Uwanja wa Kambarage - Shinyanga saa 10:00 jioni.
Toto Africans vs Simba SC Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza saa 10:00 jioni.
Majimaji vs Ruvu Shooting Uwanja wa Mabatini - Pwani saa 8:00 mchana.
JKT Ruvu vs Azam Uwanja wake mpya wa nyumbani – Mkwakwani -Tanga saa 10:00 jioni.

Jumapili Aprili 6, 2017:
Mbao FC vs Tanzania Prisons Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza saa 10:00 jioni

Mwadui vs Ndanda FC Uwanja wa Mwadui Complex Shinyanga saa 10:00 jioni.

No comments